Waziri Mwakyembe: Serikali hairidhishwi na kampuni ya ubia kati ya TBC na Star Times hasa kuzalisha hasara kila mwaka.
Waziri Mwakyembe: Nimekutana leo na Mwenyekiti wa Star Times Bwana Pang kujadili mkataba huu ili kufanya uamuzi mwezi huu huu
Mwenyekiti Star Times amemshukuru Rais Magufuli kwa nia ya kutaka mkataba uwe wa mafanikio zaidi.Yeye yuko tayari kurekebisha kasoro zozote.
from Blogger http://ift.tt/2upIHiX
via IFTTT