TAZAMA PICHA ZA MAAJABU JINSI WANAVYO TENGENEZA FILAMU…AMA KWELI TUNADANGANYWA SANA

Labda una ndoto za kuwa mtayarishaji wa filamu mbalimbali hapo baadaye, au siyo? Au unataka kuweka rekodi kwa kutengeneza filamu nzuri ambazo zitakuja kukimbiza sana Tanzania na duniani kote, au siyo? Basi unaweza kutazama baadhi ya picha, kidogo unaweza kugundua wenzetu wanafanyaje mpaka filamu kukamilika.
Wenzetu wameendelea, mpaka kufika hapo walipokuwa, haikuwa miujiza, haikuwa bahati, ni kwamba walijipanga, walisoma mpaka kufika hapo walipokuwa.
Ni safari ndefu, yenye kukatisha tamaa lakini mwisho wa siku wakafanikiwa. Wakaanza kutengeneza filamu nzuri, zenye mazingira ya kupendeza mpaka wewe mwenyewe ukazipenda.
Hebu tazama baadhi ya picha za filamu, wanavyoigiza na baadaye kipande kuingizwa kwenye kompyuta na kuanza kutengenezwa. Hakika utazipenda hizi picha.

from Blogger http://ift.tt/2uHx73b
via IFTTT