VIDEO: DR. CHILA WA MISOSI FC ALIVYOWATIBU BUGURUNI FC NDONDO CUP 2017

Juni 18, 2017 mashindano ya Ndondo Cup yaliendelea hatua ya makundi kwa mechi mbili kuchezwa kwenye viwanja viwili tofauti, uwanja wa Kinesi Misosi FC iliifunga Buguruni United kwa mabao 5-2 na uwanja wa Tandika Mabatini Dar Police Collage wakachapwa 1-0 na Temeke Market.
Mashindano ya Ndondo yananogeshwa na mambo yanaendelea nje ya uwanja ambapo mashabiki huja viwanjani kwa style tofauti wakiwa wanazi-support timu zao.
Kwenye uwanja wa Kinesi tulikuwa na Doctor wa Misosi ambaye yeye ameamua kuja kivingine na sio kama mganga wa asili kama wanavyofanya wengine na hapo Dauda TV ikataka kujua kwa nini yeye ameamua kuja kama doctor wa kisasa.
Video hapa chini ni Dr ambavyo alikuwa akifanya yake kwenye uwanja wa Kinesi wakati wa mechi ya Misosi FC vs Buguruni United.


 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2sv3Chl
via IFTTT