Ugaidi Waendelea Kuitesa Kenya..Wananchi Wapewa Onyo na Jeshi

Vikosi vya Usalama nchini Kenya viko katika hali ya ulinzi mkali na tahadhari baada ya kupokea taarifa za ujasusi kwamba wanamgambo wamekuwa wakipanga mashambulizi ya kigaidi wakati au baada ya sikukuu ya
Pasaka.
Hayo yamethibitishwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, George Kinoti ambapo ameeleza kuwa wamepokea taarifa za ujasusi zikieleza kuwa wanamgambo tisa wanapanga mashambulizi, hivyo tayari vikosi vya usalama vimejiimarisha na kuhakikisha kunakuwa na tahadhari ya juu kudhibiti mashambulizi yasitokee.
Jeshi hilo limetoa wito kwa wananchi wote kuwa waangalifu kwa hali ya juu kabla ya sikukuu ya Pasaka na kuripoti shughuli zote watakazozitiliwa shaka

from Blogger http://ift.tt/2pio1qH
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ohp5Xw
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oKu1bl
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2pmaxYn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oKBxCM
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oBWNtZ
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oymcmC
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2oia87j
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2pjs06h
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2pjsedG
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2pDZl8I
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2nPOD2A
via IFTTT