UTABILI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KWA SAA 3 USIKU WA TAREHE 7 JUNI MPAKA SAA 3 USIKU TAREHE 8 JUNI



WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE:07/06/2016.
[Mikoa ya Marana Kagera]:




Hali ya Mawingu kiasi, ngurumokatika Maeneo machache navipindivyajua.


[Maeneo ya Miinuko ya Mikoa ya Iringa,NjombenaMbeya]:
[Mikoa ya Tanga,Dar es salaam, Morogoro naPwani]:
[VisiwavyaUngujanaPemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvuanyepesikatika Maeneo machache navipindivyajua.


[Mikoa ya Kigoma, Mwanza,Tabora,SingidanaDodoma]:
[Mikoa ya Manyara, Simiyu, Geitana Shinyanga]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa, ,NjombenaIringa]:
[Mikoa ya Ruvuma, MtwaranaLindi]:
[Mikoa ya Kilimanjaro naArusha]:

Hali ya Mawingu kiasi navipindivyajua.




TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MWAMBAO WA MIKOA YA PWANI, DAR ES SALAAM, TANGA, LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA; PIA UPEPO MKALI UNAOFIKA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MWAMBAO WOTE WA UKANDA WA ZIWA VICTORIA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
23°C
16°C
12:35
12:28
D'SALAAM
31°C
22°C
12:30
12:11
DODOMA
28°C
16°C
12:42
12:27
KIGOMA           
31°C
17°C
01:04
12:53
MBEYA
22°C
07°C
12:56
12:31
IRINGA
25°C
13°C
12:46
12:24
MWANZA
30°C
19°C
12:47
12:43
TABORA
30°C
14°C
12:52
12:41
TANGA
32°C
21°C
12:27
12:16
ZANZIBAR
31°C
24°C
12:30
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumakutoka Kusinikwa kasi ya km 50 kwa saakwa Pwani yote.

Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi:Makubwa.

Matazamiokwasiku yaAlhamisi: 09/06/2016: Mabadilikokidogo.

Utabirihuuumetolewaleotarehe: 07/06/2016.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.