UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO


WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/02/2016.
[Mikoa ya Morogoro (Kusini) KatavinaRukwa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mbeya, NjombenaIringa]:
[Mikoa ya MtwaranaLindi]:

Hali ya Mawingu, mvuanangurumokatikabaadhi ya maeneonavipindivifupivyajua

[Mikoa ya Kigoma, Tabora na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvuanangurumokatikamaeneomachache navipindivyajua

[Mikoa yaSimiyu, Shinyanga, Mara na Mwanza]:
[Mikoa yaGeita, Singidana Dodoma]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumokatikamaeneomachache navipindivyajua
[Mikoa ya Tanga, Dar es salaam naPwani]:
[MkoawaMorogoro(Kaskazini)]:
[VisiwavyaUngujanaPemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvuanyepesikatikamaeneomachache navipindivyajua
[Mikoa ya Kilimanjaro, ArushanaManyara]:

Hali ya Mawingu kiasinavipindivyajua
ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MIKOA YA MBEYA, IRINGA, NJOMBE, LINDI, RUVUMA, MTWARA NA MOROGORO (KUSINI).

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
29°C
14°C
12:42
12:53
D'SALAAM
32°C
24°C
12:28
12:46
DODOMA
29°C
19°C
12:42
01:00
KIGOMA           
29°C
20°C
01:07
01:22
MBEYA
26°C
13°C
12:49
01:11
IRINGA
28°C
15°C
12:41
01:01
MWANZA
30°C
20°C
12:57
01:07
TABORA
30°C
17°C
12:55
01:10
TANGA
32°C
24°C
12:30
12:45
ZANZIBAR
34°C
24°C
12:28
12:46
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saakwa Pwani ya  Kaskazini nakutoka Kaskazinikwa kasi ya km 20 kwa saakwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi: MadogohadiMakubwa kiasi.
Matazamiokwasiku yaIjumaa: 19/02/2016:Mabadiliko kidogo.
Utabirihuuumetolewaleotarehe: 17/02/2016.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.