WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 06/10/2015.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam,
na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu na mvua
katika Baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara,Morogoro na Arusha]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
mvua katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera na Mara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Mwanza,Kigoma na
Geita]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya,
Katavi, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida,
Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha
juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
26°C
|
14°C
|
12:20
|
12:27
|
D'SALAAM
|
31°C
|
21°C
|
12:08
|
12:17
|
DODOMA
|
30°C
|
16°C
|
12:22
|
12:31
|
KIGOMA
|
33°C
|
19°C
|
12:46
|
12:55
|
MBEYA
|
29°C
|
15°C
|
12:31
|
12:40
|
IRINGA
|
29°C
|
14°C
|
12:22
|
12:31
|
MWANZA
|
30°C
|
18°C
|
12:35
|
12:41
|
TABORA
|
32°C
|
20°C
|
12:34
|
12:43
|
TANGA |
29°C
|
22°C
|
12:09
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
22°C
|
12:08
|
12:17
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na
km 20 kwa saa kwa Pwani ya kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
08/10/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 06/10/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.