Mazishi ya Mch. Mtikila Mkoani Njombe, Tazama picha kumi za Mashada







Mgombea wa jimbo wa Ludewa mkoa wa Njombe Deo Filikunjombe, akiweka
taji la maua katika nyumba ya milele ya mch. Christopher Mtikila, jana
katika eneo la Milo wilayani Ludewa alikoziwa.


Mke wa Marehemu, Mch. Christopher Mtikila, Geogea Mtikila
akiweka taji la maua katika nyumba ya milele ya mch. Christopher
Mtikila, jana katika eneo la Milo wilayani Ludewa alikoziwa.


Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dr. Rehema Nchimbi akiweka taji la maua katika
nyumba ya milele ya mch. Christopher Mtikila, jana katika eneo la Milo
wilayani Ludewa alikoziwa.


Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akiweka taji la maua
katika nyumba ya milele ya mch. Christopher Mtikila, jana katika eneo
la Milo wilayani Ludewa alikoziwa.