Maalim Seif: Tumaini la Wazanzibari

Changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi wa Zanzibar na jinsi Chama Cha Wananchi CUF chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamad walivyojipanga kuzitatua changamoto hizo endapo watapata ridhaa ya kuwaongoza wananchi wa Zanzibar.