UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA JANA

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 10/09/2015.

[Mikoa ya Mara na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaama, Pwani na Tanga]
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Ruvuma, Katavi, Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Mtwara, Morogoro, Mwanza, Shinyanga, na Geita]:
[Mikoa ya Lindi, Kigoma, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.




VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
27°C
15°C
12:30
12:31
D'SALAAM
32°C
20°C
12:19
12:20
DODOMA
30°C
16°C
12:43
12:34
KIGOMA           
32°C
19°C
12:57
12:58
MBEYA
27°C
12°C
12:44
12:42
IRINGA
29°C
14°C
12:34
12:33
MWANZA
31°C
19°C
12:43
12:46
TABORA
33°C
18°C
12:45
12:46
TANGA
30°C
22°C
12:20
12:21
ZANZIBAR
31°C
22°C
12:19
12:20

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 12/09/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 10/09/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.