Ninazo nchi 10 zinazoongoza kwa rushwa Duniani….

.
.
Najua nina watu wangu wanataka kufahamu ni nchi ipi inayoongoza kwa rushwa duniani, sasa basi leo nimekusogezea  nchi 10 zinazoongoza kwa rushwa duniani;
nafasi ya kumi ni  Eritrea
LONDON, ENGLAND - APRIL 30: An Eritrean demonstrator waves his national flag whist taking part in a demonstration on Whitehall on April 30, 2012 in London, England. The protesters were demanding that Britain stops selling arms to Ethiopia, their neighboring country, and for Ethiopian nationals to leave Eritrea. (Photo by Dan Kitwood/Getty Images)
.
Nafasi ya tisa (9) ni Libya
.
.
Nafasi ya nane (8) imetajwa kwamba ni  Uzbekistan
.
.
Nafasi ya saba (7)  imetajwa kwamba ni Turkmenistan.
.
.
Taifa la Turkmenistan imeshika nafasi ya saba haishangazi kwa kuwa eneo ambalo taifa hili lipo ni eneo la hatari linazungukwa na mataifa ambayo kwa jumla yake yametengeneza orodha hii ya mataifa yanayoongoza kwa rushwa.
Nafasi ya sita (6) imetajwa ni Iraq
.
.
Nafasi ya tano (5) ni South Sudan
.
.
Nafasi ya nne (4) ni Afghanistan
.
.
Nafasi ya tatu (3) ni Sudan
.
.
Nafasi ya pili (2) imetajwa ni North Korea
.
.
Nafasi ya kwanza (1) imetajwa ni Somalia
.
.