BECKHAM AKIWA NA KEVIN HART WAMETENGENEZA TANGAZO HILI KWA AJILI YAKO

UTANATAKA KUCHEKA?..DAVID 

CPfkcKdWwAAvVkr
Mchekeshaji Kevin Hart na David Beckham wametengeneza tangazo la TV la kampuni ya H&M ambalo lazima litakuacha kwenye kicheka ukiliangalia.
Kwenye hilo tangazo Kevin Hart anapewa kazi ya ku-act movie yeye kama David Beckham. Sasa ili kuigiza vizuri movie hiyo Kevin Hart akaenda kukaa nyumbani kwa Beckham ili aweze kumzoea vizuri.
Sasa akijaribu kumzoea David Beckham hapo ndio tatizo linaanza. Cheki mwenyewe dakika 7 za tangazo hili