UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/08/2015.

[Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kagera na Mara]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Geita, Iringa, Mbeya,Njombe, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Katavi, Mwanza, Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma, Singida na Ruvuma]:
[Mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam na Pwani]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
23°C
16°C
12:41
12:38
D'SALAAM
29°C
20°C
12:36
12:21
DODOMA
29°C
16°C
12:48
12:37
KIGOMA           
29°C
20°C
01:11
01:02
MBEYA
25°C
13°C
01:01
12:42
IRINGA
27°C
15°C
12:51
12:34
MWANZA
29°C
18°C
12:54
12:53
TABORA
32°C
16°C
12:59
12:50
TANGA
29°C
21°C
12:34
12:25
ZANZIBAR
30°C
21°C
12:36
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 03/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 01/08/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.