Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford.Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Shamsa Fordamewaasa mastaa waliotangaza kumfuata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassaambaye amehamia UKAWA hivi karibuni akitokea CCM kwamba waachane na tabia yakufuata mkumbo.
Akipiga stori na gazeti hili alisema kwamba wale mastaa wanaomfuata Lowassa wanatakiwakuwa makini nawasikurupuke kwa kufuata mkumbo bali watafakari kwanza kwambayeyote wanayemshabikia anafaa na atawasaidia katika maisha na kazi zao kwani wengiwanajikuta wakifuata mkumbo tu.
“Mimi sijui niko upande gani ila yeyote atakayeonekana anafaa kutuongoza sisi wananchindiye nitakayemsapoti, huwa sina mambo ya timu kwa kweli, nawasihi wasanii wenzangu waachane na kukurupuka katika mambo haya ya siasa,” alisema shamsa