Showing posts with label bongo movie. Show all posts
Showing posts with label bongo movie. Show all posts
Muigizaji Kinyambe Afariki dunia usiku wa leo Mbeya

Muigizaji Kinyambe Afariki dunia usiku wa leo Mbeya

image.jpegMchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.

Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.


Chanzo Jamii Forum 

WOLPER 'WAKATI MWINGINE UNAWEZA SEMA UMEMPAKA KUMBE UMEPATIKANA'

Staa wa filamu Jacqueline Wolper ameibua maswali mengi kwa mashabiki wake wa filamu katika mitandao ya kijamii baada ya kuandika ujumbe unao onyesha huenda ametendwa katika mapenzi.

Muigizaji huyo ambaye mwisho wa mwaka jana (2015) alimtambulisha mpenzi wake mpya kwa mashabiki wake baada ya kuvalishwa pete, Ijumaa hii ameweka wazi yale yanayomsibu moyoni hali iliyowafanya mashabiki wake watafsiri ametendwa.

Kupidia instagram, Wolper ameandika:

"Maisha yana mitihani migumu saana wakati mwingine unaweza kujiona umempata kumbe umepatikana. Unaweza hata kukufuru Mungu lakini kuna kale kausemi kanachosema tunajifunza kutokana namakosa me nimeanza kuzingatia misemo baada yakukua mkubwa.
Unaweza ukahsi unaishi na mjusi kumbe unaishi na nyoka mwenye sumu kali akikung’ata auponi ewwwe Mungu nipe nguvu eewe Mungu wangu nitoe upofu eewe Mungu washa taa kwenye giza nene nililopo ili nipate muangaza"

Haya ni maoni ya mashabiki wake wa instagram

kate_brown538
Ushaachwa ivo ba pete kidolen hamna kiruuu, nenda kwa mond

zai2n1804
Asante Dada @wolperstylish kwa ujumbe wako mzuri japo wengi wamehisi tofauti kutokana na maneno uloyasema hapo juu ila Mimi nimeelewa vizuri sana thanks again coz nimejifunza kitu kutokana na ujumbe wako barikiwa sana

chegya_boy_
Pole sana my mungu yupo yote mapito IPO siku mungu atakuonesha chaguo llako xo omba mungu

WEMA ASHITUA MASHABIKI WAKE AANDIKA UJUMBE MZITO SIKU ZA KIFO ZIMEKARIBIA


Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...."

Kategori

Kategori