Kuachiliwa kwa Pistorius kumepingwa Unknown 7:04:00 pm habari na BBCSWAHILI Mwanariadha Oscar pistorius Waziri wa sheria nchini Afrika Kusini amepinga uamuzi wa kuachiliwa kwa mwanariadha Oscar Pistorius. Michael Masutha amasema kuwa uamuzi wa kumuachilia mwanariadha huyo umechukuliwa mapema. Oscar Pistorius na Reeva Steenkamp Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+ Related PostsNetanyahu atimua mawaziri wawili IsraelEngland yaisambaratisha San Marino 5-0Wakuu wa usalama watimuliwa Nchini KenyaESCROW:Wito waziri mkuu awajibishweObama aomba fedha kukabili EbolaChanjo ya Ebola yaonesha matumaini