BRAEAKING NEZZZ....Kura za Maoni Katika Jimbo la Tarime zimeahirishwa Baada ya Kukamatwa Karatasi za Wagombea wa CCM zikiwa na Alama ya Ndio


#‎KURAZAMAONI‬:uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la Tarime Mjini na Vijijini umeahirishwa hadi kesho baada ya kukamatwa makaratasi maalum ya kupigia kura zaidi ya elfu 20 yakiwa na majina ya wagombea. Mh.Nyambare Nyangwine na Mh.Gaudencia Kabaka yakiwa yemeshawekewa alama ya ndio.

Update
Chama Cha Mapinduzi mkoani Mtwara kimemsimamisha kazi Katibu wa chama hicho wilaya ya Newala kwa tuhuma za kuchapisha kura za maoni katika ofisi ya mmoja wa wanaoomba kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la Newala Vijijini.