Utabiri wa hali ya hewa siku ya leo Julai 6, 2015 mpaka kufikia jioni

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 05/07/2015.

[Mikoa ya Mara na Kagera]:


Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Kigoma, Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
14°C
12:41
12:35
D'SALAAM
30°C
20°C
12:36
12:18
DODOMA
26°C
14°C
12:48
12:34
KIGOMA           
31°C
17°C
01:11
12:59
MBEYA
20°C
06°C
01:03
12:37
IRINGA
24°C
10°C
12:51
12:31
MWANZA
28°C
17°C
12:53
12:50
TABORA
29°C
15°C
12:59
12:47
TANGA
28°C
22°C
12:34
12:22
ZANZIBAR
29°C
23°C
12:36
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 07/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 05/07/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.