Utabili nwa hali ya hewa leo, Julai 3, 2015 Pitia Utabili wa hali ya hewa

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 02/07/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:



Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza, Geita na Kigoma]:

Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Shinyanga]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Tabora, Rukwa na Katavi]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
TAARIFA:
HALI YA UPEPO INATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI, LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
16°C
12:41
12:35
D'SALAAM
32°C
23°C
12:36
12:18
DODOMA
28°C
15°C
12:48
12:34
KIGOMA
31°C
17°C
01:11
12:59
MBEYA
23°C
08°C
01:03
12:37
IRINGA
26°C
13°C
12:51
12:31
MWANZA
27°C
17°C
12:53
12:50
TABORA
31°C
14°C
12:59
12:47
TANGA
31°C
21°C
12:34
12:22
ZANZIBAR
30°C
22°C
12:36
12:18
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 04/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 02/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.