Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Aprili 11, 2015. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
Mtoto Tobias Kallaghe ambaye ni mtanzania anayeishi na wazazi wake nchini Uingereza akisamasasoti nyumbani kwao, eneo la High gate London Aprili 11, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe na Binti wa Balozi huyo, Rebecca (katikati) kwenye makazi ya Balozi huyo eneo la Highgate, Londondoni Aprili 11, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Binti wa Balozi wa Tanzainia nchini Uingereza, Rebecca Kallaghe kwenye makazi ya Balozi huyo eneo la Highgate, London Aprili 11, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Aprili 11, 2015. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Simba na timu ya taifa, Said John wakati alipozungumza na watanzania waishio nchini Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo Aprili 11, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).