Matumla JR v Wang Xin Hua kutifuana Diamond Jubilee


Bondia Wang Xin Hua kutoka China (kushoto)  wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainua mikono juu Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana