Kutoka nyumbani kwa Marehemu Kapteni John Komba March 01.


25kmbRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado wanaendelea kufika nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba kwa ajili ya kutoa salaam za rambi rambi.
44kmbRatiba ya awali iliyotolewa  na familia wamesema mwili wa Marehemu Kapteni Komba utafika saa 10 kwa ajili ya sala kisha mwili utalala hapa nyumbani kwake kwa siku ya mwisho kisha kesho March 02 utaelekea Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kisha utasafirishwa kuelekea Mbinga kwa mazishi.
6kmb
15kmb
11kmb
31kmb
2kmb
3kmb
155kmb
151kmb
149kmb
143kmb
136kmb
132kmb
126kmb
122kmb
123kmb
105kmb
102kmb
99kmb
89kmb
88kmb
by Millardayo.com