Waziri Machano azindua kituo kipya ya ununuzi wa karafuu Mtambwe



 WAZIRI asiekuwa na wizara maalum Mhe: Machano Othuman Said akiondoa kitambaa maalumu kuashiria kufungua kituo kipya ya ununuzi wa karafuu kilichojengwa na ZSTC kijiji cha Bwagamoto Mtambwe wilaya ya Wete Pemba, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 51 ya mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI asiekuwa na wizara maalum Mhe: Machano Othuman Said akizungumza na wananchi mbali mbali wakiwemo wafanyakazi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko pamoja na ZSTC, mara baada ya kufungua kituo kipya ya ununuzi wa karafuu kilichojengwa na ZSTC kijiji cha Bwagamoto Mtambwe wilaya ya Wete Pemba, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 51 ya mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).