Gari hii inauzwa


Ni aina ya Scania toka Uingereza tani 32, imesajiliwa nchini kwa namba T 530 CLW na ipo kwenye hali nzuri sana inafanya kazi.
Bei tshs milioni 76.5 maelewano yapo (negotiable). 
Kwa mawasiliano kibiashara piga +255754464525, 0753321191