Zilizotufikia kwa Ufupi kutoka kwa mwandishi wetu wa Elimtaa Songea: Bomu lalipuka tena

Songea
Imebainishwa kuwa katika maeneo ya Mshangono Mjini Songea Mkoani Ruvuma jiono ya jana kulitokea Mrupuko wa Bom.
Bomu (Picha na mtandao)

Inaelewa kuwa kutokea kwa mripuko huo kumesababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo

Elimtaa Itakuletea taarifa zaidi hapa hapa hapo baadae zitakapo thibitishwa na mamlaka husika.