Madawati yakabidhiwa na JK shule ya Msingi Epauko Moro


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu madawati mapya ya shule  ya msingi ya Epauko wilayani Mahenge baada ya shule hiyo kukabidhiwa msaada wa madawati 500 na Kampuni ya Kibaran Resources Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya Graphite na Nickel mkoani wa Morogoro Agosti 20, 2014.



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete  na mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi ya Epauko wilayani Mahenge baada ya shule hiyo kukabidhiwa msaada wa madawati 500 na Kampuni ya Kibaran Resources Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya Graphite na Nickel mkoani Morogoro Agosti 20, 2014.(PICHA NA IKULU)