RAIS KIKWETE KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBLIMBALI

Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi  ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika  Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe.  Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika hoteli ya Sheraton  Davos, Uswisi Janaury 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kiwete akutana na kufanya mazungumzo na  Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton Davos,  Uswisi, January 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi, January 23, 2014
Rais Jakaya Kikwete akishangiliwa baada ya kuhutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi  ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji salama kwa miaka ijayo  katika hoteli ya Derby huku  Davos  Uswisi  Januari 23, 2014.(PICHA NA IKULU)