Picha imepigwa Kwenye kituo cha Kibo. Kwa mbali ni kilele cha Mawenzi na
pembezoni utaona mawingu ambayo ukiwa hapa yanaoneakana yakiwa chini.
View kama hizi tumezoea kuziona tukiwa kwenye ndege angani lakini
unapopanda Mlima Kilimanjaro, unapata fursa ya kupata view hii huku
ukiwa umesimama kwa miguu yako mwenyewe.
Habari Online na Elimtaa
UNAYAOMA MAWINGU UKIWA UMESIMAMA
Unayaona mawingu kwa chini ukiwa umesimama kwa miguu yako mwenyewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
