BRECKING NEWZ: JAHAZI LA SUNRISE LAZAMA ZANZIBAR MUDA HUU - NI MAENEO YALE YALE


JAHAZI lazama Zanzibar maene mkondo ya Nungwi   kwa mujibu wa taarifa zizlizo patikana watu 22 wameokolewa wakiwa katika hali mbaya na wengine 10 hawajulikani walipo lilikuwa limebeba zaidi ya watu 30.


Jahazi linalofahamika kwa jina la Sunrise hilo lilikuwa limesajiliwa kwa ajili ya kubeba mizigo lilikuwa limetokea maeneo ya Tanga na kuelekea visiwani Zanzibar

Kwa habari zaidi endelea kutembelea Elimtaa

1 comments:

hii ni hatari kwanini maeneo yaleyale
jahazi la mizigo