Breaking News…..! WASANII WA FILAMU TANZANIA WAPATA PIGO 2013 SAJUKI AFARIKI DUNIA.






 HI NI BAADA YA KUWAPOTEZA VINARA WENGINE MWAKA JANA

Aliyekuwa Msanii maarufu katika Tasnia ya Filamu nchini Juma Kilowoko almaarufu kama  ’SAJUKI’ aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya muda mrefu amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

ELIMTAA Team: Inaungana na Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania wote katika Kuombeleza Kifo cha Mpendwa wetu Marehemu SAJUKI… Inalilahi Wainalilahi Rajiun.
TAARIFA ZAIDI ZITAKUJIA HAPO BAADAE. ENDELEA KUPERUZI ELIMTAA