WAFANYA biashara wa soko dogo la Ilimi wametakiwa kutupa taka katika madampo ili kuepuka kupatwa na magonjwa ya mlipuko.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wafanyabiashara kiongozi wa soko hilo la Ilemi Darajani. Bw Joseph Mwaipaja amesema kuwa wawe makini na utupaji wa taka katika maeneo ya siko ili kuepusha mlipuko wa magonjwa.
Bw. Mwaipaja amewakanya wafanya biashara wa soko hilo kutupa taka hovyo kwani itawaletea matatizo hapo baadaye ya magonjwa ya mripuko pia eneo la soko hilo limekuwa katika mteremko mkali ambapo wameiomba serikali kuwa wekea matuta ili kupunguza mwendo kasi wa bajaji na magari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)