DODOMA, DR. MGIMWA AKIWASIRI BUNGENI

DK. WILLIAM MGIMWA NA BAJETI YA FEDHA KWA MWAKA 2012/2013
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali  ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)