KILIMANJARO MANDHARI INAYO VUTIA




Mlima Kilimanjaro (picha juu) una vilele viwili. Kimoja kipo upande wa kulia na kingine upande wa kushoto (kwa mujibu wa picha ya hapo juu). 

Naomba unitajie majina ya hivo vilele huku ukisema cha kulia kinaitwaje na cha kushoto vilevile. Tumia sehemu ya Kutolea maoni kwa kutuma jibu lako