ZIFAHAMU PROGRAMU ZILIZOZUIWA NA ZILIZORUHUSIWA KUDAHILI WANAFUNZI 2017/18

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa orodha ya programu ambazo mwanafunzi anayetaka kujiunga na chuo chochote kwa mwaka wa masomo 2017/18 anaweza kuomba, lakini pia kuna baadhi (75) ambazo zimezuiwa kudahili wanafunzi kutokana na uwepo wa mapungufu mbalimbali.
Zuio hilo limekuja kufuatia uhakiki uliofanywa na TCU Septemba na Oktoba 2016 katika vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni.
Jedwali la kwanza hapa chini ni programu 75 zilizozuiwa kudahili wanafunzi 2017/18 zikionyesha na vyuo zinapotolewa.
Jedwali la pili ni programu unazoweza kuomba kusoma katika mwaka wa masomo 2017/18.


from Blogger http://ift.tt/2w01Cy9
via IFTTT