PICHA: WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI KUTOKA MALAWI WATUA TANZANIA KUJIFUNZA

Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya nchini Malawi watembelea Tanzania kujifunza utendaji kazi wa maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni pamoja na utendaji katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hususan katika eneo la utoaji huduma kwa Umma katika kupambana na Rushwa na uadilifu wa Utumishi.
Wajumbe wa Kamati ya Maadili kutoka Malawi wakiwa kwenye Mkutano na Kamati ya uadilifu ya Wizara ya Ardhi.
Mratibu wa Kituo cha huduma kwa Mteja, Johnson Sanga akionyesha electronic queing machine ya kuhudumia wateja sawa sawa na anayewahi kufika, ambayo hutumika katika Kituo cha Huduma kwa Mteja; Kwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili kutoka Malawi.
Kamati ya Maadili kutoka nchini Malawi ikiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya uadilifu ya Wizara ya Ardhi.
Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

from Blogger http://ift.tt/2vPPmRH
via IFTTT