Mrembo AUAWA kikatili na mwili wake kutelekezwa Kichakani…

Mrembo mmoja amekuwa akiwa ameuawa na kutupwa katiaka eneo la Teshie Accra Nchini Ghana. Inasemekana kuwa
mrembo huyo alikuwa anafanya kazi za ukahaba na aliyemuua inasemekana ni makahaba wenzie waliokuwa wakidanga naye
Shuhuda wa tukio hilo anasema, 
\
alipofika eneo ambalo makahaba huwa wanajiuza usiku wa tukio, alikuta sehemu ikiwa
haina kahaba hata mmoja, na baada ya muda kidogo aliuona mwili wa mrembo huyo ukiwa umetupwa pemben huku ukiwa
na majeraha makubwa ya kutobolewa tobolewa shingo. 

from Blogger http://ift.tt/2vERDhB
via IFTTT