Warembo wa Bongo na Fasheni ya Mimba…Mrembo Tunda nae Kitumboo Ndii…

Video vixen ambaye alihusishwa katika sakata la matumizi ya dawa za kulevya Tunda, huwenda akawa anatuonyesha kuwa ni mama kijacho kama tetesi zinavyozidi kusambaa mitandaoni.
Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha ya Utrasound ikionyesha kuwa anatarajia kupata mtoto. “😷,” Tunda ameweka kimdoli hiko kwenye picha hiyo.
Hata hivyo mrembo huyo amekuwa akikanusha mara kadhaa taarifa hizo na hadi sasa tangu alipoweka picha hiyo hajaongea chochote.
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2sMDRJL
via IFTTT