Video: Ndondo Cup haiishiwi vituko, angalia shabiki alivyooga uwanjani

Jata Boy ni shabiki wa Ndondo Cup ambaye msimu huu 2017 amekuja kwa style ya aina yake ambayo ni mpya kabisa kwenye michuanono hii, Jata Boy aliamua kuoga uwanjani kisha kujiremba na kuvaa nguo zake na kuendelea kushangilia.
Anafanya yote hayo kwa ajili ya kutaka kuwa shabiki bora ili anyakue tuzo ya kikundi bora cha ushangiliaji tuzo ambayo imekuwa ikidondoka mikononi mwa Chief wa Kauzu.
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2s577df
via IFTTT