TAZAMA VIDEO YA MUZIKI AMBAYO POGBA AMESHIRIKISHWA

Yeye ni mchezaji wa klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza. Wengi humfahamu kwa mtindo wake wa kupenda ku-dab mara baada ya kufanga goli. Mara kadhaa pia video zake zimekuwa zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akicheza muziki akiwa nyumbani kwake.
Staili hiyo ya ku-dab ni maarufu sana nchini Marekani kutokana na aina ya muziki ambao wanaufanya.
Hivi karibuni Paul Pogba ametokea katika video ya wimbo wa Outlet wa mwanamuziki Desiigner, akiendeleza staili zake za kucheza muziki.
Katika wimbo huo, Pogba anaonekana akiwa amevalia jezi mpya ya ugenini itakayotumiwa na klabu yake ya Machester United msimu ujao.
Itazame video hiyo hapa chini;
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2uljTVR
via IFTTT