Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Chipogolo- Mpwapwa.
Mwanachama Maarufu wa Yanga ,Ally Yanga amefariki muda huu kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio za Mwenge huko mkoani Dodoma.
Innah Lilah wainah illah rajiuun
Poleni mashabiki na kiongozi Wa club ya dar young African kwa kuondokewa na shabiki maarufu wa club ya yanga ndg Ally yanga kilichotokea kwa ajaliya gari akiwa kwenye msafara wa mbio za mwenge huko Dodomampwapwa.
Rest in peace Ally yanga mbele yako nyuma yetu tutakukumbuka sana na tutamiss sana vituko vyako uwanjani na kwenye chama chetu pendwa chama cha mapinduzi mungu akulaze mahali pema na peponi
Gari iliyopata ajali

from Blogger http://ift.tt/2tp2Nqo
via IFTTT