PICHA: PICHA 19 NZURI ZAIDI KWA MWAKA 2016

Shindano kutafuta picha bora duniani kwa mwaka 2016 (The 2016 SkyPixel Photo Contest) limetambua picha bora na zinazovutia zaidi zilizopigwa kutoka angani kwa kutumia ndege ndogo maalumu (drone) kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Kwa kushirikiana na kampuni ya masuala ya teknolojia ya China – DJI, Jumuiya ya Wapiga Picha za Angani, SkyPixel, iliendesha shindano la dunia kwa miezi miwili, ilipokea zaidi ya picha 27,000 kutoka kwa wapiga picha kwenye nchi 131 duniani.
Jopo la majaji wa shindano hilo lililoundwa na wapiga picha wa chombo cha habari cha TIME Shirika la Usafiri la Condé Nast Traveler pamoja na wapiga picha waliowahi kushinda tuzo mbalimbali, lilichagua picha bora zaidi ya mwaka, pia kuchagua mshindi wa kwanza, pili na tatu katika vipengele vitatu — “uzuri,” “picha za mzunguko (360),” na picha za “ndege maalum (drones) zikiwa kwenye matumizi.”
Pia kulikuwa na tuzo ya picha maarufu zaidi duniani, kigezo kikiwa ni picha zilizopendwa zaidi na watu “likes” kwenye tovuti ya SkyPixel.
Picha bora ya mwaka ni ile ya “Wavuvi walio karibu na nyavu,” iliyopigwa na Ge Zheng katika jimbo la Fujian nchini China. “Jinsi vitu vilivyoakisiwa na maji, mpamgilio wa rangi na upekee wa picha hiyo kutokea angani umetengeneza picha bora iliyojumuisha nyavu, nguzo, na maji,” kwa mujibu wa SkyPixel.
Endelea kuperuzi uone picha hizi 19 zilizopigwa na ndege maalumu ambazo zimetajwa kuwa ndio picha nzuri zaidi duniani kwa mwaka 2016. Zawadi zilitolewa kwa mpiga picha mzoefu na asiye mzoefu katika kila kipengele.
Mshindi wa jumla
Picha: Ge Zheng/ Sky Pixel
Wapiga picha wazoefu (Picha Nzuri Zaidi Duniani)
#1
Picha: Hambing Wang/ Sky Pixel
#2
Picha: dixonltduser/SkyPixel
#3
Picha: Heng Li/SkyPixel
Wapiga picha wazoefu (Ndege Maalumu Zikiwa Kazini)
#1
Picha: Roman Neimann/SkyPixel
#2
Picha: HackerSundy/SkyPixel
#3
Picha: Norman Nollau/SkyPixel
Wapiga picha wazoefu (picha ya mzunguko “360”)
#1
Picha: Jingwen Chen/SkyPixel
#2
Picha: Paul Oostveen/SkyPixel
#3
Picha: Shoushan/SkyPixel
Wapiga picha wasio wazoefu (picha nzuri zaidi)
#1
Picha: Chenghan/SkyPixel
#2
Picha: Mauro Pagliai/SkyPixel
#3
Picha: Canloker/SkyPixel
Wapiga picha wasio wazoefu (Ndege Maalumu Zikiwa Kazini)
#1
Picha: Fifa/SkyPixel
#2
Picha: lili cui/SkyPixel
#3
Picha: Lingdamowang_user/SkyPixel
Wapiga picha wasio wazoefu (picha ya mzunguko “360”)
#1
Picha: Wen Li/SkyPixel
#2
Picha: Jiuyao/SkyPixel
#3
Picha: SkyPixel

from Blogger http://ift.tt/2rnme0r
via IFTTT