Picha 9 mwili wa Cheikh Tiote ulivyopokelewa Ivory Coast

Hatimaye mwili wa Cheikh Tiote aliyefariki nchini China umewasili nchini kwao Ivory Coast tayari kwa mazishi, waombolezaji mbali mbali walijitokeza kuupokea mwili huo akiwemo mchezaji wa zamani wa Man City Wilfred Bonny pamoja na kocha wa zamani wa Ivory Coast Herve Renard.
Pia wananafamilia kutoka familia ya wakina Tiote, raisi wa chama cha soka cha Ivory Coast na mashabiki wengi waliojichora jina la Tiote walikuwepo uwanjani kuupokea mwili huo, hizi hapa ni baadhi ya picha wakati mwili huo ukiwasili.
 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2rD9GlU
via IFTTT