Mume Ashtukia Mke Wake Unaliwa na Bosi Wake…Hichi Ndicho Alichoamua Kufanya

Huko nchini Kenya jamaa mmoja aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mfanyakazi wake ambaye ni mke wa mtu ameadhibiwa kwa style ya aina yake. Inaelezwa kuwa mwanamke huyo aliyekuwa akitembea na bosi wake alishtukiwa na mumewe na kuonywa lakini hakusikia. Kilichofuata ni mumewe kuvizia gari la bosi huyo na kuliandika kwa maandishi makubwa ya rangi nyeupe maneno yasemayo ‘Achana na mke wangu’.

from Blogger http://ift.tt/2sN78T7
via IFTTT