Mtendaji wa Kijiji Auawa Kibiti, Nyumba ya Mwenyekiti Yachomwa Moto

MAUAJI KIBITI: Ofisa Mtendaji wa Kiijiji cha Mangwi Kata ya Mchukwi, Shamte Rashidi Makawa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo, Mwenyekiti wa kijiji hicho alichoropoka na nyumba yake ikachomwa moto.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kueleza kuwa Jeshi la Polisi tayari lipo eneo la tukio, hivyo watatoa taarifa rasmi za tukio hilo baadaye.
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2slvxOW
via IFTTT