Diamond Platnumz: Wasanii wa Kike Wanaliwa Sana, Sitaki Tiffa Awe Msanii

Mwanamuziki Diamond amesema angependa mwanae Nillan awe msanii ila hatapenda mwanae Tiffa awe msanii kwa kuwa wasanii wa kike wamekuwa wakiliwa sana
Amesema pia yeye amepita na wanawake wengi sana kutokana na status aliyonayo ila kwa sasa ametulia na Zari na anampenda kwa kuwa anajua maisha:

from Blogger http://ift.tt/2reBqke
via IFTTT