Aliyekuwa Mkurugenzi Tanesco Kabla ya Kutumbuliwa na Rais Magufuli Ageukia Uchungaji..Aaandaa Semina ya Maombezi..!!!

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) Mhandisi Felchesm Mramba sasa aibukia Kanisani ambapo ameandaa semina itakayoambatana na maombezi katika kanisa la TAG Changanyikeni.

from Blogger http://ift.tt/2qYYt25
via IFTTT