Ubuyu wa Motomoto..Flavina Matata Aingia katika Kumi na Nane za Wiz Khalifa..Wapiga Mapicha Haya ya Kikubwa Kubwa ..!!!

Mwanamitindo wa Tanzania, kupitia ukurasa wake wa Twitter, ametupia picha na video mbalimbali akiwa na mastaa wa Marekani.
Flaviana Matata ambaye amekuwa akifanya kazi zake nyingi nje ya Tanzania, aliweka picha akiwa na mwanamuziki Wiz Khalifa wa Marekani kisha kuandika: “It has been a fun weekend, more on my Snapchat and IG stories”
Aidha, Flaviana pia aliweka picha akiwa na staa wmingine wa R&B na Pop wa Marekani, Keri Hilson kisha akaweka video akidansi huku pembeni yake akiwepo Rihanna na kueleza jinsi ambavyo anavyomkubali mwanamuziki huyo ambaye licha ya kuwa ni staa lakini aliamua kujichanganya na watu wa kawaida kwenye tamasha fulani ambalo hakifafanua.

from Blogger http://ift.tt/2pxJ99E
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2pdUTl3
via IFTTT