Rayvanny na mpenzi wake Fahyma wapata mtoto wao wa kwanza….

WCB Wasafi inazidi kuwa familia kubwa, Leo April 17 2017, tuna mpa hongera Raymond aka Rayvanny wa WCB kwa kuwa baba.
Rayvanny na mpenzi wake Fahyma wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza…
Meneja wa wasanii wa WCB Sallam Sk Alimpa hongera hivi Rayvanny Hongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!!
Pia RayVanny alithibitisha taarifa hizi kwa kumuandikia baby mama wake
Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto 😂😂😂 NAKUPENDA!!”  

from Blogger http://ift.tt/2opBybL
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2pdXLOu
via IFTTT