MWANAUME Kama Huna Pesa na Unataka Usife Mapema, Usifanye Hivi

Kama wewe ni Mwanaume na unamalengo ya kuoa ila huna Pesa, hakikisha usioe mwanamke kisura.
Kila mwanaume anatamani kumiliki mwanamke kisura kiasi kuwa kila atakapokuwa anapita haoni shobo kumtambulisha mkewe.
Tatizo linakuje pale huna pesa lakini unataka uweke mrembo ndani. Ndugu yangu, usijidangaje hata siku moja kuwa wapo wanawake wasiopenda pesa na wanapenda maisha ya shida. Hata kama wewe ni Handsome kiasi gani, hakuna mwanamke aliye tiyar kuishi maisha magumu na wewe kisa uhandsome wako. Labda yeye akuowe wewe. Na ukiolewa zipo gharama zake.
Sasa ukitaka kufa kwa presha na ma stress, kaowe mwanamke mrembo na huku unajijua ni kapuku kama mimi apa.
By Heradius

from Blogger http://ift.tt/2pOSEAM
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2pP0zOr
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2pwXxlt
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2oKnMCg
via IFTTT