Kwa Hali ya taharuki iliyopo nchini kila kukicha laiti kama ingekuwa ni awamu ile huyu Mpoto saivi angekuwa na album…
Sasa ni nani kamfumba mdomo huyu mwanamashairi maarufu asiyeona haya ikosoa Serikali..
Nakuuliza Mpoto
Mbona umekaa kimya sana!??
Kila kitu kiko sawa!??
Nani kakufumba mdomo!? Au umejifunga mwenyewe…!??
Ulivyokua wamchana Mjomba mbona sasa washindwa kwa Sizonje!??
Kuna nini Mpootooo… Nakuuliza wewe Mpoto.
By Data/JF
from Blogger http://ift.tt/2omz8Oi
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2poqaNZ
via IFTTT